Maima, mama Terry yuko wapi?

0
13290

By Kiriba

 

Mashabiki wa bendi mbalimbali za benga Ukambani wamezua vurugu mitandaoni wakitaka kujua yaliyojiri baina ya mwanamziki mtajika wa benga, Maima aka Alphonce Kioko, kiongozi wa bendi ya Kithungo raha na mke wake Mama Terry.

Tangu Maima aachilie albamu yake mpya inayojulikana kama Kusama ngiti ama Maima ndi nzika, ameonekana mara nyingi na mwanamke anayeaminika ni Fildema Mbula. Maima ameimba nyimbo kadhaa katika albam hiyo kumsifu mpenzi wake mpya ila hakumtaja Mama Terry popote.

Pia ameweka mtandaoni picha nyingi akiwa na Fildema, picha
zinazoashiria siyo uhusiano wa kawaida tu.

Mwishowe maima alijibu kuwa ukitaka Mama Terry, nenda Wamunyu katika ukurasa wake rasmi wa Facebook, ithibati ya kwamba waiachana la sivyo hataki vuru za mashabiki.

Peter Mwendwa Plz mashimo n c kwa ubaya mama terry ako???
Kithungo Raha Maima Unamtaka ama? Niwisi wamunyu?
Benjamin Mulandi Mutonyi wa maima mwie isu ni mbee yii mwene
Benard Kitusa Musili Ahaha ,,,Asi ebu useme Kwan unamdai
LikeShow more reactions
Mbivya Meshack Peter mwabia we wi kiveti kana girlfriend???? Ula
waukulya ikyaku vala kii nuu????

Bedroom affairs will always remain bedroom affairs. Sama ngiti

Facebook Comments