Home Tags Kiswahili

Tag: kiswahili

Kesi inayopinga ushindi wa Ngilu Kusitishwa.

Kesi iliyowasilishwa katika Mahakama kuu ya Kitui na Julius Malombe imehairishwa.Kesi hiyo ilikuwa isikizwe leo Alhamisi 7/12/2017. Kesi hiyo iliwasilishwa na gavana mtangulizi wa Ngilu...

Seneta Wambua amrai Malombe kutomtatiza Ngilu.

Seneta wa Kitui Enoch Wambua hii leo ameinglia kati kesi iliyo mahakamani kupinga ushindi wa Ngilu.Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani na aliyekuwa gavana Julius Malombe.Seneta...

Afueni kwa watahiniwa wa KCSE

Kulingana na takwimu idadi ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kitaifa KCSE imeweza kubainika kwamba zaidi ya wanafunzi 600,000 walishiriki zoezi la kufanya mtihani huo.Takwimu...